Art GalleryGnomes
LanguagesFront PageDaniil Kharms
TheoriesCinema

Swahili


Tin opener.
Kifunga kopo.

Chicken fleas.
Utitiri.

The bad chair.
Kiti vibaya.

People come and go.
Watu wanakwenda na kurudi.

Two hymns will be adequate.
Nyimbo mbili zitatosha.

It's exactly the same with people nowadays.
Ni vivyo hivyo kwa watu wa siku hizi.

When the lion roars, we are sore afraid, master.
Simba anapolia, tunaogopa sana, bwana.

This is not the man who built my house.
Huyu siye mtu aliyeijenga nyumba yangu.

Not quite, master, the potatoes aren't ready, but they will soon be done.
Bado kidogo, bwana, viazi bado, lakini vitakuwa tayari sasa hivi.

This page does not apply to Greenland and the Faeroe Islands